Header Ads

Breaking News
recent

MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU - Pastor Amiq Jd.


Bwana Yesu Asifiwe!!! Karibu usikilize naku download mafundisho ya Neno la Mungu kutoka kwa Pastor Amiq Jd. Mafundisho haya yalifundishwa siku za Jumapili na yanalenga kumjenga Mtu Binafsi aimarishe uhusiano wake  binafsi yeye na Mungu ili Mungu awe anamsaidia katika mambo yake yote hapa duniani na hatimaye ampeleke Mbinguni. Maisha ni Safari - Pastor Amiq Jd
DOWNLOAD Majaribu ni Mtaji - Pastor Amiq Jd DOWNLOAD Ushindi Katika Wokovu - Pastor Amiq Jd DOWNLOAD

No comments:

Powered by Blogger.